Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira
Halmashauri ya manispaa dodoma

Tangazo la nafasi za kazi
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya dodoma anakaribisha maombi ya watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi za mwenyekiti wa bodi ya ajira, madereva wa mitambo na madereva wa magar i kama ifuatavyo:

Mwenyekiti wa bodi ya ajira (nafasi 01)

Sifa za mwombaji:
1. Waombaji wawe raia wa tanzania, na wawe wakazi wa kawaida wa eneo la manispaa ya dodoma. .
2. Waombaji wawe na uelewa juu ya masuala ya utawala, utumishi au sheria.
3. Waombaji waambatanishe vyeti vya taaluma na maelezo yao binafsi
Yanayojitosheleza (cv).
4. Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 11/04/2016.
5. Aidha kazi ya mwenyekiti wa bodi ya ajira haina mshahara bali mwenyekiti wa bodi ya ajira atalipwa posho za vikao vya bod i ya ajira kadiri vitakapajitokeza.


Masharti ya jumla kwa madereva na maopereta wa mitambo
I)waombaji wote wawe ni raia wa tanzania wenye umri kuanzia miaka 18
Na wasiozidi umri wa miaka 45.
Ii) waombaji w.ote waambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa .
Iii) waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza
(detailed cv) yenye anwani na namba za simu za kuaminika, nakala ya
Leseni husika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa
Kuaminika
Iv) picha mbili "passport size" za hivi karibuni na ziandikwe jina kwa nyuma.
V) "testimonials","provisional results", "statement of results", hati ya matokeo ya kidato cha nne "result slip" havitakubaliwa.
vi) waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi
Kuomba isipokuwa tu kama wana kibali cha katibu mkuu kiongozi
Vii) maombi vote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, kidato cha nne pamoja na vyeti vya mafunzo mbalimbali vinavyohusika. Viambatanisho vyote vibanwe na barua kwa pamoja kuondoa uwezekano wa kupotea.
Viii) mwisho wa kupokea barua za maombi ni siku ya jumatatu, tarehe 11 aprili, 2016 saa 9:30 mchana.
Ix) uwasilishaji wataarifazakugushi utaadhibiwakisheria;a'idha, maombi
Vote yaandikwe kwa lugha ya kiswahili au kiingereza na yanaweza
Kuwasilishwa moja kwa moja masjala ya manispaa, ya dodoma au
Kutumwa kupitia posta kwaanuaniifuatayo:APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mkurugenzi wa manispaa,
Halmashauri ya manispaa,
S.L.P 1249
Dodoma