JOEFF GROUP (T) LTD

NAFASI YA KAZI YA FUNDI WA MAGARI MAKUBWA (MECHANICS).

Tunatafuta fundi wa magari makubwa (truck horse)

SIFA ZA MUOMBAJI;

1) Awe na cheti cha shule

2) Awe na cheti cha ufundi angalau TRADE TEST CERTIFICATE kutoka kwenye chuo chochote cha ufundi kinachotambulika.

3) Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu (3)
 Awe na ujuzi wa kutengeneza magari makubwa, kwa mfano; VOLVO, SCANIA, MAN, RENAULT, DAF N.K

MSHAHARA;

Maelewano

Mawasiliano: 0782 73 73 13