Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda anawatangazia wafuatao kuhudhuria usaili kwa ajili ya nafasi mbalimbali zilizotangazwa katika tangazo la ajira lenye Kumb . Na . KTV/MDC/A.40/3/31 la tarehe 13.03.2015 .


Kwa majina angalia gazeti la Mwananchi Jumapili , Juni 28 , 2015