Tembelea www.policeforce.go.tz/index.php/sw/ kuona orodha ya wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2015.
Bonyeza hapa majina na ratiba   majina ya usaili
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.
Usaili utaanza 03.07.2015.