Deadline: 30 June 2015                              Recruiting Agency                                                                               

                               

THE LEARNERS RECRUITING AGENCY CHINI YA THE LEARNERS FOUNDATION INATANGAZA NAFASI 100 ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA KWA FANI ZA BIASHARA, UCHUMI, UGAVI NA MANUNUZI, USIMAMIZI WA BIASHARA NA MASOKO, UHASIBU, UTAWALA NA MAHUSIANO YA UMMA.
The learners Recruiting Agency imefanikiwakupelekakaziniwahitimu Zaidi ya 107 wenyeelimungaziyashahadaya kwanza, shahadaya pili nastashahadakatikakampunimbalimbalindaniya Tanzania, pia imefanikiwakupelekamadereva Zaidi ya 50 katikakampunimbalimbalinchiniTanzaniakwakipindi cha mwezi Mei naJuni 2015. Hivyokwakuzingatiamahitajiyavijanakatikaajiranakusaidiatatizo la ajiranchini, TLF inatangazanafasi 100 zamafunzoyaajiranaajirakwawahitimuwaElimungaziyashahadaya kwanza, stashahadayajuunashahadayauzamilikatikafanitajwahapojuu.
Vigezonamashartikwamuombaji:
1.    Muombaji awe nimuhitimuwashahadaya kwanza, stashahadayajuu au shahadayauzamilikatikafanitajwa.
2.    Muombaji awe tayarikuhudhuriamafunzoyaajirakutokananamaelekezoyakampunihusika.
3.    Muombajiawe tayarikuhudhuriausahilikamamaelekezoyatakavyotolewa.
4.    Muombaji awe hajaajiriwaajirayakudumunakampuniyeyote au serikalini.
5.    Muombaji awe tayarikulipiagharamazotezamafunzoyaajirakwamudawa wiki 12 ikiwani wiki 6 darasanina wiki 6 mafunzokwavitendo.
6.    Muombaji awe tayarikufanyakazimkoawowotendaniya Tanzania
7.    Muombajiawe naumrikatiyamiaka 20hadi 45
8.    Muombaji awe tayarikufuatamashartiyoteyatakayokuwepokatikamkatabawakisheriabainayakena TLF
9.    Muombaji awe tayarikulipiagharamazamafunzoyaajirakiasi cha Tshs 450,000/= marabaadayausahilikukamilikanakuwaamechaguliwakujiunganaprogramuyamafunzoyakazi.
10.    Muombaji awe tayarikufuataratibayoteyamafunzokwamudawotewamafunzoyadarasaninamafunzokwavitendo.

Muhimu: usailiutafanyikatarehe 30.07.2015 kwa vituo vya Mbeya, Dodoma na Arusha na vituo vya Dar es salaam na Mwanza usailiutafanyikatarehe 04 Julai 2015. Waombajiwatakaochaguliwakujiunganamafunzondiowatakaoruhusiwakulipiagharamazamafunzo. Ajiranizakudumukwawotewatakaochaguliwakujiunganamafunzonakuhudhuriamafunzo.
Mkatabawa TLF namuombajiwaajirautasitishwamarabaadayamuombajikumalizamafunzonakuajiriwanakampunihusika.

Maombi yote yatumwe kwa anuani ya barua pepe ya This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. Kwa mawasiliano Zaidi tembelea tovuti yetu www.tlf.co.tz au piga simunamba 0754634077, 0763388884 na 0767451031.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 Juni 2015.

Imetolewa na ofisi ya:
Meneja mahusiano TLF
S .L .P 70940
Dar es salaam Tanzania.
Simu Na. 0754634077