Deadline: 30 June 2015                              Manispaa Ya Musoma                                                                                                                                                                                                                 

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
1.    MTENDAJI WA MTAA DARAJA III – NAFASI 2
Sifa za Mwombaji
•    Awe na Elimu ya kidato cha Nne IV au Sita VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/cheti katika moja ya fani-; Utawala, Sheria, Ustawi wa Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Homboro Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Majukumu ya kazi ni pamoja na-;
•    Katibu wa kamati ya Mtaa
•    Mtendaji mkuu wa Mtaa
•    Kuratibu utekelezaji wa Sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika mtaa
•    Kushauri kamati ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika mtaa
•    Kusimamia utekelezaji wa sheria ndogo pamoja na sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa
•    Kushauri kamati ya mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
•    Kusimamia utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika Mtaa
•    Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
Mshahara 
Utakua katika ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B
Masharti
•    Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
•    Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa 
o    Maelezo binafsi
o    Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
o    Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu

NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA
Namna ya Kutuma maombi
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/06/2015
Limetolewa na-;
Dr . Khalfany B. Haule
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA
 MUSOMA
Source; Habari Leo 23rd June 2015
==========
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
2.    MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI (ASSISTANT CHILD DAY –CARE) NAFASI 1
Sifa za Mwombaji
•    Awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu mafunzo ya maarifa ya nyumbani (Home craft Management) au mafunzo yanayofanana na hayo au mwenye cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo ya Ustawi wa Jamii
Majukumu ya kazi ni pamoja na-;
•    Kulea watoto wenye ulemavu katika kituo cha walemavu
•    Kuhakikisha watoto walemavu wanahudhuria darasani ipasavyo
•    Kuhakikisha wanapata lishe bora na kwa wakati na kuhakikisha wana Afya njema
Mshahara 
•    Utakua katika ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B
Masharti
•    Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
•    Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa 
o    Maelezo binafsi
o    Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
o    Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu

NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA
Namna ya Kutuma maombi
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/06/2015
Limetolewa na-;
Dr . Khalfany B. Haule
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA
 MUSOMA
Source; Habari Leo 23rd June 2015
==========

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
3.    MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI 3
Sifa za Mwombaji
•    Awe na Elimu ya kidato cha Nne IV au Sita VI na mwenye cheti cha utunzaji kumbukumbu katika fani ya Masjala
Majukumu ya kazi pamoja na-;
•    Kutafuta Kumbukumbu /nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
•    Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika(classification and boxing)kwajili ya matumizi ya ofisi
•    Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki( File racks/cabinets) katika masjala / vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
•    Kuweka Kumbukumbu ( barua, nyaraka) katika mafaili
•    Kushughulikia maombi ya kumbukumbu /nyaraka kutoka taasisi za Serikali

Mshahara
•    Utakuwa katika Ngazi za mishahara ya Serikalini yaani TGS B kwa mwezi

Masharti
•    Waombaji wote wawe na umri usiozidi miaka 40
•    Maombi yaandikwe kwa mkono na kuambatanishwa 
o    Maelezo binafsi
o    Nakala za vyeti vya kuhitimu ( Elimu ya Msingi ,kidato cha nne au sita na cheti cha kuzaliwa) na vyeti vya mafunzo ( Astashahada)
o    Picha ndogo mbili za Passport anuani na namba ya simu

NB: MAOMBI YASIYOZINGATIA MASHARTI HAYA HAYATASHUGHULIKIWA
Namna ya Kutuma maombi
Maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
S.L.P 194
MUSOMA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/06/2015
Limetolewa na-;
Dr . Khalfany B. Haule
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA
 MUSOMA
Source; Habari Leo 23rd June 2015
==========
HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Manispaa ya Musoma inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wananchi wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi zifuatazo
4.    Katibu Muhtasi Daraja la III-Nafsi 2

Sifa za Mwombaji
Awe amahitimu kidato cha nne(IV) na kuhudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya tatu. Awe amefaulu somo la Hatimikato ya kisawhili na kingereza maneno 80 wa dakika moja na awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinacho tambuliwa na serikali na kupata cheti katika program za window, Miscrosoft Office, Internet ,E-mail and Publisher

Majukumu ya Kazi
o    Kuchapa barua, taarifa za nyaraka na za kawaida
o    Kusaidia kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu wanaweza kushughulikiwa
o    Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao , safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizo pangwa wakati unaohitajika
o    Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majadala ,nyaraka au kitu chochote kinacho hitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini