nafasi-za-kazi-ya-udereva-Tanzania
From Mwananchi,Agosti 7 2015

DEREVA DARAJA II NAFASI 1.
Sifa:
Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
Awe no leseni daraja"C" .
Awe na uzoefu Wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali .
Awe na cheti cha majaribio yo ufundi daraja II.
Awe na umri usiopungua .miaka 18 na usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi yo mshahara TGOS A sawa na Tshs
285,000/= kwa mwezi

Pia angalia  Nafasi za Kazi Shugulika Recruitment~There are many Opportunities
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla:
Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyeti vya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.
Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.
Picha mojo yo rangi (Passport Size).
Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.
(e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.

Maombi yatumwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S.L.P. 73,CHUNYA.

Nafasi za kazi nyingine nyingi zinapatikana hapahapa Kazihome Like Page yetu ya Nafasi za Kazi Hapo Juu kabisa Uwe unapata Nafasi za kazi Kirahisi.