Nafasi za Kazi European Union

From Mwananchi, Agosti 2015
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) ni Shirika la Umma lililoanziswa kwa She-
ria ya Bunge Na. 27 ya mwaka 1967 na kufanyiwa marakebisho mwaka 1983.
BAKITA linashughulika na Ukuzaji na Uendelezaji wa lugha ya Kiswahili nchini
Tanzania. Baraza linatangaza nafasi ya kazi ifuatayo:

1.MFASIRI MWANDAMIZI DARALA LA II (Nafasi 1)

Sifa: - Mwenye Shahada ya Uzamili katika masomo ya Fasihi, Lugha na/
au Isimu ya Kiswahili.
Awe na uzoefu wa kazi katika fani ya Tafsiri na/au Ukalimani kwa
muda usiopungua miaka mitano na afahamu misingi ya Tafsiri na Ukalimani. .
Awe na ufahamu wa lugha za kimataifa zaidi ya mbili.
Awe ameandika makala au kitabu kinachohusu Fasihi au Isimu ya
lugha ya Kiswahili.
Awe na uwezo wa kutumia kompyuta.

nafasi-za-kazi-baraza-la-kiswahili

Nafasi ya Kazi ya Co-operative Inspector

Kazi:
Kutafsiri maandishi yaliyoandikwa katika lugha mbalimbali.
Kutoa huduma za ukalimani.
Kuthibitisha tafsiri mbalimbali zilizotafsiriwa nje ya taasisi.
Kuwa kiungo kati ya Baraza na Vyama vya Tafsiri na Ukalimani.
Kuandaa taarifa za kazi za robo mwaka, nusu mwaka na mwaka
zinazohusu idara na kuwasilisha kwa mamlaka inayohusika na Kuan-
dika makala za kitaaluma.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti mengine:
Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 45. Watakaokidhi vigezo
vyote ndio watakaoitwa kwenye usaili.
Mshahara na marupurupu yatatolewa. Maombi yaambatishwe na taarifa binafsi
za mwombaji, vivuli vya vyeti vya shule na vyuo na cheti cha kuzaliwa na ku-
tumwa kwa aliyetajwa hapo chini.

Katibu Mtendaji,
Baraza la Kiswahili la Taifa, (BAKITA),
S.L.P 4766, Dar es salaam.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01/09/2015

Nafasi Zingine zote Za Kazi Mpya 2015 Zinapatikana Kazihome