nafasi-za-kazi-ya-udereva
From Mwananchi,10th Agosti 2015

Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya Wilaya ya Babati, anawatangazia nafasi za kazi 'ya Udereva Watanzania wote wenye sifa katikafani hiyo.,
.
Kazi - Dereva: Daraja la II
Nafasi Nane (8) ,

Sifa za kuajiriwa -Mwombaji anapaswa kuwa na.
(a) Cheti cho Mtihani wa Kidato cha Nne, (K.IV).
[b] Leseni Daraja la C ya uendeshoji kutoko Chuocho Ufundi VETA au NIT.
(c) ,Uzoefu wa kuendeshd magari kwa mudo usiopungua miaka mitatu (3) bila kusab6bisha aja.li .
(d) Cheti cha Majaribig yo Ufundi Daraja la II.
(e) Umri kati yomiokdKumi na Nane (18) hadi Arobaini na Tano (45).

Kazi za kufanya - Mwoinbaji atakayefaulu/ atakayekidhi vigezo na kuajiriwa atafanya kazi zifuatazo:-
(a) Kuendeshomoqori ya Abiria na Malori ,
(b) (i) Kuhokikishoqori no vyombo vyake vipo katika hali nzuri wokof wote na,
. (ii) Kufohyo Uchunquzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
(c) Kufonyo rnotenqenezo madogo madogo katika gari.
(d) Kutunza na kuandika daftari la safari (Log book) kwa safari zote.

Mshahara - Ngazi ya tylshahara na Mshaharaitakuwa:- TG05/A/1 yaani Tshs 300,900/= x 7,000/= kwa mwezi hadi TG05/ A!18 yaani Tshs. 419,000/=.

Mambo muhirnu/ yQ jumla ambaye mwombaji cncposwo kuyazingatia.ni.-

(a) licha ya mwombaji kuwa nllazima awe Mtanzania wa Kike au Kiume, anapaswa kuwa:- -
(i) Hajawahi kufungwa kwa makosa ya Jinoi.
(ii) Hajawahi kupunquzwa Kufukuzwa kazi Serikalini.

(b) Barua za maombi .ziambatishwe pamoja na Vivuli (Photocopies) vya vyeti vya taaluma, ujuzi, kuzaliwa na picha mbili (2) (Passport size) za rangi zao hivi karibuni bila kusahau maelezo binafsi (CV) yanayojitoshelezo yakionyesha anwani kamili za Wadhamini watatu (3).
Namba ya sirnu ya Mwombaji ni muhimu na iandikwe katika barua ya maombi ya Kozi.chini ya anuani yake.
(c) Waombaji woliosorno nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa Vyeti vyao kutoka Borozo la Mitihani la Taifa (NECTA).


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa anuaniifuatayo:- .

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Babati,
S. L. P.400,
BABATI - MANYARA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25/08/2015 saa 9:30 alasiri

Nafasi za kazi nyingine nyingi zinapatikana hapahapa Kazihome Like Page yetu ya Nafasi za Kazi Hapo Juu kabisa Uwe unapata Nafasi za kazi Kirahisi.