NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anatangaza nafasi za kazi kamaifuatavyo:

1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II - TGS B. (NAFASI 5)SIFA:
KuajiriwahitimuwaKidato cha IV IVI wenyeCheti cha UtunzajiKumbukumbu (NTA 5) katika mojawapo ya fani za Afya,Masjala,MahakamanaArdhi kutokaVyuovina,vyotambulika na Serikali

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI.
1. Awe raiawa Tanzania.
2. Awe naumriusiopunguamiaka 18 nausiozidimiaka 45.
3. Mwombajiaambatishecheti cha kuzaliwa
4. Mwombajiaambatishemaelezobinafsiyanayojitosheleza (CV)
5. Maombiyaambatanenavyetivyakitaaluma, nakalazavyetivyakidato cha nne au sitakwa wale
waliofikakiwangohichonavyetivyakuhitimumafunzombalimbalikwakuzingatiasifazakazi-
husika.
6. "Testimonials, Provisional results, Statements of results, Hatiyamatokeozakidato cha nnen-
asitahavitakubaliwa".
7. MwombajikaziambayetayarinimwajiriwawaSerikaliasiombe.

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE:19.AGOSTI.2015
MAOMBI YATUMWE KWA:

MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 273, TUNDUMA- MOMBA
MBEYA
SOURCE; MWANANCHI 6TH AUGUST 2015