HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
(MARUDIO)
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA  KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO
3.    NAFASI YA KAZI: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) – (NAFASI 06)
SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiliwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita wenye cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI NA MAJUKUMU
•    Kutafuta kumbukumbu/ nyaraka/ majalada yanayohitajiwa na wasomaji
•    Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka
•    Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi
•    Kuweka/kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhiwa kumbukumbu
MSHAHARA:
Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. B

UTARATIBU WA UOMBAJI:
•    Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
•    Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
•    Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
•    Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
•    Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
•    Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
•    Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
•    Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
N.B; Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MfENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 Alasiri
Source; Mwananchi 6th August 2015