HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
(MARUDIO)
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA  KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO

4.    NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (OFFICE ASSISTANT)- (NAFASI 5)
SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

SIFA ZA MWOMBA.Jl:
•    Awe wamehitimu wa kidato eha nne (IV) na waliofauJu vizuri katika masomo ya kiingereza, kiswahili na Hisabati.

KAZI/ MAJUKUMU YA MSAIDIZI WA OFISI
a)    Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vurnbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo.
b)    Kuchuka na kupeleka rnajalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
c)    Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa
d)    .Kutayarisha chai ya ofisi
MSHAHARA
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A'
UTARATIBU WA UOMBAJI:
•    Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
•    Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
•    Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
•    Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
•    Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
•    Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
•    Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
•    Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
N.B; Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MfENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 Alasiri
Source; Mwananchi 6th August 2015