NATIONAL ENVIRONMENT MANAGEMENT COUNCIL (NEMC)
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa mazingira
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UDEREVA
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na 20 ya mwaka 2014 kwa lengo la kuhifadhi na kusimamia mazingira.
Ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, Mkurugenzi Mkuu wa Baraza anawatangazia afire watanzania wenye sifa za kujaza nafasi nne za udereva katika ofisi zetu za Mwanza, Mbeya na Mtwara kama ifuatavyo:
DRERVA DARAJA LA II NAFASI 4 (NEMOSS 4)
SIFA
i. Awe na cheti cha kidato cha nne (IV)
ii. Awe na Leseni dalaja la C na E ya uendeshaji magari
iii. Awe na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu (3)
iv. Awe na cheti cha majaribio ya ufundi darafa la II.
MAJUKUMU
i. Kuendesha magari ya ofisi.
ii. Kuendesha viongozi.
iii. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo
iv. Kufanya matengenezo madogomadogo katika gari.
v. Kutunza na kuandika daftari la safari (Log-Book) kwa safari zote.
vi. Kutunza taarifa za matumizi ya mafuta.
MAELEZO
• Barua za maombi ziandikwe kwa mkono (hand writing).
• Mwombaji aonyeshe wasifu wake (CV).
• Barua za maombi ziambatishwe na vivuli vya vyeti vyote.
• Mwombaji awe na umre kuanzia miaka 18 – 45.
• Weka picha moja ya passport size.
• Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20.09.2015
Maombi yote yatumwe kwaMkurugenzi Mkuu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
S.L.P 63154
DAR ES SALAAM
Source: Nipashe 10th September, 2015