JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 139

Tume ya Utumishi wa mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji
wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa mahakama.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika ofisi za mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombiyao ya kazi. Nafasi hizo ni Katibu Mahususi Dalaja la III - (TGS B) nafasi 123, Mhasibu Dalaja la II – (TGS D) nafasi 2, Mhasibu Msaidizi – (TGS C) nafasi 1 na Mpokezi – (TGS A) nafasi 1.
1.    KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III TGS B – NAFASI 123
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Wilaya Zilizoainishwa katika jedwali hapa chini:-

nafasi-139-za-kazi-serikalini
S/N    MKOA    WILAYA    IDADI
1    ARUSHA    Arumeru/Arusha    1
          monduli    1
          ngorongoro    1
          longido    1
          karatu    1
JUMLA    5
2    MANYARA    Babati    1
          Mbulu    1
JUMLA    2
3    KILIMANJARO    Moshi    1
          Same    1
          Rombo    1
          Mwanga    1
          Hai    1
JUMLA    5
4    MWANZA    Ukerewe    2
          Sengerema    1
          Magu    2
          Kwimba    1
          Musungwi    1
          Mwanza    1
JUMLA    8
5    MBEYA    Mbeya    _
          Tukuyu    2
          Kyela    2
          Mbozi    1
          Chunya    1
          Ileje    1
          Mbarali    1
JUMLA    8
6    IRINGA    Iringa    1
          Mufindi    1
JUMLA    2
7    DODOMA    Dodoma    1
          Mpwapwa     1
          Kondoa    1
          Kongwa    1
JUMLA    4
8    TABORA    Tabora    2
          Urambo    1
          Igunga    1
          Nzega    1
JUMLA    5
9    KIGOMA    Kigoma    1
          Kibondo    1
          Kasulu    1
JUMLA    3
10    KAGERA/BUKOBA    Bukoba    1
          Muleba    2
          Biharamulo    2
          Ngara     2
          Karagwe    2
JUMLA    9
11    TANGA    Tanga    1
          Muheza    1
          Handeni    1
          Pangani    1
          Korogwe    1
          Lushoto    2
JUMLA    7
12    MOROGORO    Morogoro    6
          Kilosa    1
          Mahenge/Ulanga    1
          Ifakara/Kilombelo    1
JUMLA    9
13    SINGIDA    Singida     3
          Manyoni    1
          Iramba/Kiomboi    1
JUMLA    5
14    MTWARA    Mtwara    1
JUMLA    1
15    MARA    Musoma    3
          Tarime     1
          Bunda    1
          Serengeti    1
JUMLA    6
16    PWANI - KIBAHA    Kibaha    1
          Utete/Rufiji    1
          Kisarawe    2
          Bagamoyo    2
          Mafia    2
          Mkuranga    1
JUMLA    9
17    RUVUMA (SONGEA)    Songea    3
          Tunduru    1
          Mbinga    1
          Namtumbo    2
JUMLA    7
18    SHINYANGA    Shinyanga    2
          Kahama    2
          Kishapu/Shinyanga    2
JUMLA    6
19    RUKWA/SUMBAWANGA    Sumbawanga    2
          Nkasi    2
JUMLA    4
20    LINDI    Nachingwea    1
          Liwale    1
          Ruangwa    1
          Kilwa Masoko    2
JUMLA    5
21    GEITA    Chato    1
JUMLA    1
22    SIMIYU    Bariadi    3
          Maswa    2
          Meatu    2
JUMLA    7
23    NJOMBE    Njombe    2
          Ludewa    1
          Makete    1
JUMLA    4
24    KATAVI    Mpanda    2
JUMLA    2
JUMLA KUU    123
              


SIFA ZA MUOMBAJI

•    Kajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua ya Tatu.
•    Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja
•    Wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail, Publisher, PowerPoint na Excel.

KAZI ZA KUFANYA

•    Kuchapa bara, taarifa na nyaraka za kawaida.
•    Kusaidia kupokea wageni na kuwasili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa.
•    Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio,miadi, wageni, tarehe za vikao safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.

Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 14/09/2015 saa 9:30 Alasiri.
MASHARITI YA JUMLA
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kuambatisha nakala zifuatazo:-
•    Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.
•    Ufupisho wa taarifa za mwombaji (CV)
•    Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
•    Pecha mbili (passport size) zilizopigwa hivi karibuni.





Aidha inasisitizwa kwamba:-

•    Waombaji wakazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hill, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
•    Maombi yote yapitishwe kwa katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
•    Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao
•    Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
•    Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa:-

 Katibu
 Tume Utumishi wa Mahakama ya Tanzania
S.L.P 8391
DAR ES SALAAM

Ietolewa na ;

Katibu
Tume ya Utumishi wa Mahakama
S.L.P 8391
DAR ES SALAAM - TANZANIA


Source: Daily News 3rd September, 2015