HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe anatangaza nafasi ishirini na tatu(23) za kazi . maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa mtanzania yeyote mwenye sifa hizo zilizotajwa katika tangazo hili
Nafasi zilizotangazwa ni kama ifuatavyo
2.    Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III: (NAFASI 8) 

Majukumu:
i.    Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
ii.    Kusimamia U1inzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa M1inzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika kijiji.
iii.    Kuratibu na kusimamia upangaji wa uteke1ezajiwa Mipango ya maende1eo ya kijiji
iv.    Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
v.    Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
vi.    Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za Nyaraka za kijiji.

Mwombaji awe na Sifa zifuatazo:-
i.    Awe amehitimu Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
ii.    Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:• Utawala,
Sheria, Elirnu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa
kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Ngazi ya Mshahara: TGS B
Vigezo na Masharti ya Jumla kwa Waombaji:
ix.    Mwombaji awe raia wa Tanzania
x.    Awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
xi.    Maombi yote yaambatanishwe na nakala ya cheti cha Taaluma, nakala ya cheti cha Kidato cha nsie] sita, Maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu (3) wa kuaminika na picha mbili (passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
xii.    Vyeti vyote vya Taaluma na Kidato cha Nne/ Sita ni lazima vithibitishwe na Hakimu au wakili anayetambulika na Serikali. Aidha atakayewasilisha taarifa na sifa za kugushi atachukuliwa hatua za Kisheria na mamlaka zinazohusika.
xiii.    Mwombaji yeyote ambaye hatazingatia mojawapo ya masharti au vigezo tajwa hapo juu, maombi yake hayatashughu1ikiwa.
xiv.    Watumishi ambao wa1ikwisha kuajiriwa hapo awali Serikalini na kupangiwa vituo vya kazi maeneo mengine wasiombe nafasi hizi za kazi kwa kuwa hawataweza kuingia kwenye Payroll ya Serikali.
xv.    Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
xvi.    Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta, maombi yatakayowasilishwakwa mkono au barua pepe
hayatafanyiwa kazi:
Barua zote zitumwe kwa njia ya Posta kupitia anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
S.L.P. 01
MASUMBWE
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/07/2015, Saa 9:30 Alasir.
Abdallah l. Mfaume
Mkurugeozi Mtendaji (W)
MBOGWE
SOURCE; MWANANCHI 09TH JULY 2015


BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI ----->
============
Job Category
Other
Industry
Government
Qualifications
Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:• Utawala, Sheria, Elirnu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa
Experience
NONE
Company Name
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOGWE
Apply To
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
P O BOX
01, MASUMBWE
CITY
Shinyanga
Country
Tanzania
Deadline
31/07/2015,