HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
KATIBU MUHTASI III (NAFASI 3)
Muombaji awe na sifa zifuatazo;
•    Awe amahitimu kidato cha IV
•    Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu.
•    awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher
 KAZI NA MAJUKUMU
•    Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida
•    Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
•    Kusaidia kutunza taarifa /kumbukumbu za matukio, mladi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratibaya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake kwa wakati unaohitajika
•    Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
•    mwaombaji awe raia wa Tanzania
•    awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
•    Maombi yote yaambatanishwa na nakala za cheti cha kuhitimu taaluma , nakala ya cheti cha kidato cha Nne/sita, maelezo binafsi yanayojitoshereza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu na picha mbili (Passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
•    Vyeti vyote vya taaluma na kidato cha Nne/Sita ni lazima vithibitishwe na hakimu au wakili anayetambulika na serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
•    Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
•    Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi
 Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH  JULY 2015
============

HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 4)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
•    Awe amehitimu kidato cha Ne (IV) au Sita (VI)
•    Awe amehitimu mafunzo ya Cheti cha Utunzaji Kumbukumbu
•    Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
KAZI NA MAJUKUMU
•    Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na maafisa
•    Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka
•    Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi
•    Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinet) katika masjala
•    Kuweka kumbukumbu(barua/nyaraka nk) katika mafaili
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
•    mwaombaji awe raia wa Tanzania
•    awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
•    Maombi yote yaambatanishwa na nakala za cheti cha kuhitimu taaluma , nakala ya cheti cha kidato cha Nne/sita, maelezo binafsi yanayojitoshereza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu na picha mbili (Passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
•    Vyeti vyote vya taaluma na kidato cha Nne/Sita ni lazima vithibitishwe na hakimu au wakili anayetambulika na serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
•    Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
•    Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi
 Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH  JULY 2015
============

HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III(NAFASI 39)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
•    Awe amehitimu kidato cha Ne (IV) au Sita (VI)
•    Awe amehitimu mafunzo ya cheti/Astashahada katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU
•    Utakua mhamasishaji wa Umma katika mikakati mbalimbali ya uzalishaji mali, kuondoa njaa na umaskini
•    Utakua mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
•    Utaratibu na kusimamia upangaji wa mipango shirikishi ya maendeleo ya vijiji na vitongoji
•    Utatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogondogo katika kijiji
•    Kusimamia utendaji kazi wa wataalam na watendaji wengine katika ngazi ya kijiji
•    Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha kwa mkurugenzi na nakala kwa katibu tarafa
•    Utakua msimamizi na mratibu wa takwimu zote zinazokusanywa katika vijiji na vitongoji
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
•    mwaombaji awe raia wa Tanzania
•    awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18
•    Maombi yote yaambatanishwa na nakala za cheti cha kuhitimu taaluma , nakala ya cheti cha kidato cha Nne/sita, maelezo binafsi yanayojitoshereza (CV) ikiwa na anuani, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu na picha mbili (Passport size) za hivi karibuni (ziandikwe jina kwa nyuma)
•    Vyeti vyote vya taaluma na kidato cha Nne/Sita ni lazima vithibitishwe na hakimu au wakili anayetambulika na serikali. Aidha uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua kali za kisheria
•    Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
•    Maombi yote yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya posta, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono au barua pepe hayatafanyiwa kazi
 Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH  JULY 2015
============

HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Msalala-Kahama anapenda kuwatangazia wote wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi mbalimbali kama ifuatavyo
AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II (NAFASI 5)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
•    Awe amehitimu kidato cha Ne (IV)
•    Awe amehitimu cheti cha mafunzo ya miaka miwili katika fani ya Maendeleo ya jamii kutoka vyuo vya maendeleo ya jamii ya Buhare na Rungemba au vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
Maafisa Maendeleo ya Jamii Wasaidizi watapangwa katika ngazi ya kijiji/kata. Wakiwa huko watafanya kazi zifuatazo
•    Kuratibu shughuli zote za Maendeleo ya jamii kwa kuzingatia jinsia
•    Kuraghibisha jamii kuanzia ngazi ya familia katika kubuni, kupanga, kutekeleza , kusimamia na kutathmini mipanga na/au miradi yao ya maendeleo
•    Kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kutoa taarifa za matukio mbalimbali kama vifo, milipuko ya magonjwa, masoko, uzalishaji mali, vyakula, ajira na unyanyasaji wa kijinsia
•    Kukusanya, kuchambua na kuweka takwimu zinazozingatia jinsia zitakazowezesha jamii kupanga mipango yao
•    Kuhamasisha jamii kuondokana na mila/desturi potofu na kuwa na mtazamo wa kupenda mabadiliko
•    Kuhamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi