Employer: Ministry of Natural Resources and TourismJOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

• Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya utalii kwa kushirikiana na wadau wote
• Kutoa leseni za utalii kwa mahoteli na wakala wa utalii
• Kukusanya na kuweka takwimu za watalii na safari za kitalii
• Kutafuta na kupanga nafasi za masomo ya utalii ndani na nje ya nchi
• Kujibu malalamiko kutoka kwa watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau katika uendeshaji wa biashara ya utalii
•  Kuandaa kaguzi mbalimbali za wakala wa utalii
• Kuchambua miradi ya wakala wa utalii na hoteli
• Kukagua hoteli, loji na migahawa
• Kujibu na kufuatilia malalamiko yanayotolewa  na watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalaam kwa  wakala wa utalii
• Kukusanya takwimu za watalii kwenye sehemu/  vituo  nchini vya kuingilia/ kutoka kwa wageni
• Kutunza kumbukumbu za vitabu/ majalada ya maktaba ya utalii
• Kutayarisha taarifa za kila mwezi ya takwimu ya watalii walioingia nchini na mapato yaliyopatikana
• Kufanya tafiti ndogo “survey” kwenye hifadhi za Taifa na maeneo
• Kufuatilia kwa karibu  na kushirikiana na VETA  juu ya maendeleo ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya utalii nchini
• Kuratibu miradi yote inayohusiana na utoaji wa mafunzo ya utalii
• Kutayarisha ripoti ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima
• Kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya sekta kwa kufanya savey
• Kutayarisha ripoti na kusambaza kwa wajumbe na kufuatilia utekelezaji wa maazimio
• Kupitia miongozo inayohusu ‘ Tourism Facilitation Committee’
• Kuratibu shughuri za kubuni vivutio utalii na mienendo mipya ya kuendeleza utalii utalii
• Kutayarisha na kuhakiki vivutio vya utalii nchini
• Kuitisha mikutano/ semina za uhamasishaji kuhusu uendeshaji utalii
• Kushiriki katika kupitia ripoti za EIA kuhusu miradi ya utalii
• Kushirikiana na Mashirika? Taasisi mbalimbali za mazingira katika shughuri zihusuzo utalii na mazingira
• Kukusanya rasilimali za uendeshaji katika vyanzo vya ndani na nje


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

• Kuajiriwa wenye Shahada/ Stashahada ya juu katika mojawapo ya fani za Utalii, Hoteli, Uhusiano wa kimataifa, Biashara (masoko) au Sheria (Commercial law) kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali

REMUNERATION: Salary Scale TGS D

How To Apply:
All application should be sent through Recruitment Portal with the following address. http://portal.ajira.go.tz/  (This address can be found also in Public

Application Deadline: 24-07-2015


TUMA MAOMBI KUPITIA --------->