HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LA MARUDIO
1.    NAFASI YA KAZI;  DEREVA DARAJA II (DRIVER GRADE II)- ( NAFASI 3) 
Sehemu; halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
SIFA ZA MWOMBAJl:
•Awe na cheti cha rntihani wa kidato cha nne (IV).
•Awe na leseni daraja la "C' ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kueodesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali,
•Awe na cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II

KAZl/MAJUKUMU YA  KUFANYA:
a.Kuendesha magari ya abiria na malori.
b.Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
c.Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
d.Kutunza na kuandika daftari la safari 'Log- Book" kwa safari zote.

MSHAJIARA:
Ngazi ya mshahara wa Serikali TG08 'A" 

UTARATIBU WA UOMBAJI:
    Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
    Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti eha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
    Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
    Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
    Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
    Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
    Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
    Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

N.B; Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 13 julai 2015 saa 9;30 Alasiri
(Thomas Mwailafu)
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA
IKUNGI
SOURCE; MWANANCHI 3RD JULY 2015
======

HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LA MARUDIO
NAFASI YA KAZI; MLINZI (SECURITY GUARD) - ( NAFASI  23)
Sehemu; halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
SIFA ZA MWOMBAJl:
•    Awe amehitimu kidato cha nne na kufuzu mafunzo ya Mgambo Polisi JKT au mafunzo ya Zimamoto kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
KAZl/MAJUKUMU YA  KUFANYA:

a.Kuhakikisha mall yoyote ya Otisi inayololewa langoni (Nje ya Ofisi) ina hati ya idhini.
b.Kuhakikisha mall yole inayoingizwa langoni inazo hati za uhaIali wake.
c.Kulinda usalama wa majengo, OfJSi na mall za Ofisi mchana na usiku.
Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.
d.Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia katika eneo la Otisi wanaidhini ya kufanya hivyo.
e.Kupambana na majanga yote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n.k na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika, kama vile polisi na zimamoto.
f.Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi.

MSHAHARA
•Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A' 